ZIAAT - NBAA ZATILIANA SAINI HATI YA MASHIRIKIANO
POSTED ON: 19-05-2025
Mkurugenzi Mtendaji wa ZIAAT CPA Ame B. Shadhil akitiliana saini hati ya mashirikiano na Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA leo tarehe 16 mei, 2025 katika kilele cha Mkutano Mkuu wa kwanza wa ZIAAT uliofanyika katika Ukumbi wa New Amaan Hotel Zanzibar kuanzia tarehe 14 - 16 mei, 2025