ZIAAT YAFANYA ZIARA TAASISI YA WAHASIBU UGANDA (ICPAU)
POSTED ON: 03-03-2025
Watendaji wakuu kutoka Taasisi ya Wahasibu Uganda (ICPAU) wakibadilishana uzoefu na Watendaji wakuu kutoka Taasisi ya Wahasibu, Wakaguzi na Washauri Elekezi wa Kodi Zanzibar mara baad ya Uongozi wa ZIAAT kufanya ziara katika Taasisi ya Wahasibu Uganda kwa lengo la kujifunza mbinu mbali mbali za uendeshaji wa taasis za wahasibu