ZIAAT YAFANYA ZIARA TAASISI YA WAHASIBU UGANDA
POSTED ON: 03-03-2025
Katibu wa Taasisi ya Wahasibu Uganda (ICPAU) CPA Derick Nkajja (kushoto) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa ZIAAT CPA Ame B. Shadhil mara baada ya Uongozi wa ZIAAT kufanya ziara na kutembelea taasisi hiyo kwa lengo la kujifunza mbinu mbali mbali za uendeshaji wa taasisi hiyo ili ZIAAT iweze kujiimarisha katika uendeshaji na utoaji mafunzo kwa Wanachama wake.