DKT. SAADA MKUYA AZINDUA BODI YA ZIAAT

POSTED ON: 29-10-2024

Waziri wa Nchi - Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Mhe. Dkt Saada Mkuya Salum leo tarehe 4 Novemba, 2023 amezindua Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Wahasibu, Wakaguzi na Washauri Elekezi wa Kodi Zanzibar Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Ofisi ya Msajili wa Hazina Maisara, Mjini Zanzibar