WAHASIBU NA WAKAGUZI WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MKUTANO MKUU WA ZIAAT
POSTED ON: 15-05-2025
Wahasibu na Wakaguzi kutoka Zanzibar na Tanzania bara wamejitokeza kwa wingi katika mkutano mkuu wa ZIAAT uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa New Amaan Hotel Zanzibar tarehe 14 - 16 Mei, 2025
Katika Mkutano huo mada mbali mbali ziliwasilishwa na wawasilishaji kutoka Zanzibar na Tanzania bara ambapo Rais wa Wakaguzi wa Ndani Tanzania CPA Zelia O Njeza alipata fursa ya kuwasilisha mada